Skip to main content
Skip to main content

Athari 5 kuu za kuzimwa kwa intaneti na maandamano Tanzania

  • | BBC Swahili
    30,952 views
    Duration: 3:11
    Tangu Maandamano yatibuke Oktoba 29 siku ya uchaguzi mkuu wa Tanzania, mtandao wa intaneti ulizimwa na kutumbukiza nchi hiyo katika giza la mawasiliano. Je nini kinaendelea? Kwanini serikali imekaa kimya? Nasteha Mohammed anatathmini athari za kuzimwa kwa intanet kwa uchumi wa Tanzania na kanda ya Afrika Mashariki na Kati. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw