Athari ya kimbunga Chido Msumbiji, Mayotte

  • | BBC Swahili
    1,406 views
    Mamia ya watu wafariki huku kimbunga Chido kikipiga Msumbiji na Mayotte Ufaransa Msumbiji imekumbwa na kimbunga kikali na kusababisha uharibifu mkubwa. Kimbunga hicho kilipiga kwa kasi ya kilomita 40 (maili 25) kusini mwa mji wa kaskazini Pemba. Mji wa Mayotte eneo la Bahari ya Hindi ya Ufaransa limeathirika vibaya na kimbunga hicho. #bbcswahili #kimbunga #haliyahewa Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw