Athari za El Nino: Jamii zilizoathirika Mandera zapokea msaada

  • | KBC Video
    3 views

    Serikali ya kaunti ya Mandera imeanzisha mradi madhubuti kukabiliana na athari za mvua ya El Nino kwa kusambaza vifaa muhimu kwa jamii zilizoathiriwa katika kaunti hiyo. Akiongea na wana-habari, Abdi Muumin kutoka shirika la amani kwa wote barani Afrika-VOPA alisema mradi huo unawalenga zaidi ya watu elf-6 waliokumbwa na mafuriko katika kaunti ya Mandera.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive