Athari za kupunguzwa kwa fedha za kaunti zaanza kuonekana huku Magavana wakilalamika

  • | Citizen TV
    183 views

    Athari za Kupunguzwa kwa fedha za kaunti imeanza kuonekana huku sasa magavana wakilalamika kuwa baadhi ya huduma muhimu zimelemazwa kutokana na kupunguzwa kwa fedha hizo.Naibu Gavana Katika kaunti ya Kajiado Martine Moshisho anasema licha ya serikali za ugatuzi kuwa na majukumu mengi ya kuwasaidia wananchi, kupunguzwa na kucheleweshwa kwa pesa hizo kunazidi kuwa pigo kwa kaunti