Athari za Rushwa katika sekta ya miundombinu nchini Malawi

  • | VOA Swahili
    121 views
    Barabara mbovu na mashimo ni sehemu ya uzoefu wa madereva mjini licha ya kuwa ni moja ya tishio kwa madereva, hali mbaya ya barabara inawakilisha moja ya vikwazo vikubwa vya uchumi nchini Malawi. Sikiliza ripoti kamili kuhusu ufisadi unavyochangia katika kuzorotesha maendeleo ya nchi na hatua ambazo serikali ya Malawi inachukua kudhibiti hujuma hiyo. #barabara #mashimo #madereva #tishio #vikwazo #zambia #lilongwe, #Malawi