'Awali sikuwa naweza hata kuvaa nguo ya ndani'

  • | BBC Swahili
    688 views
    Miaka mingi baada ya kukeketwa wakiwa watoto, baadhi ya wanawake wanageukia upasuaji wa kurekebisha upya sehemu ya viongo vyao vilivyokeketwa Shamsa Sharaawe alifanyiwa upasuaji wa kurekebisha uharibifu uliotokana na ukeketaji aliofanyiwa nchini Somalia akiwa mtoto Takriban wasichana na wanawake milioni 230 duniani kote wamekeketwa kwa namna fulani. Ukeketaji ni kitendo cha kuondoa sehemu au viungo vyote vya nje vya uzazi vya mwanamke kwa sababu zisizo za kimatibabu. Lakini je, upasuaji huo wa kurekebisha unafanya kazi? Shamsa Sharaawe anaelezea #bbcswahili #somalia #ukeketaji Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw