Baada ya Bukavu kutekwa, ni kipi kinafuata DRC?

  • | BBC Swahili
    46,620 views
    Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo inasema Rwanda inapuuza wito wa kusitishwa kwa mapigano baada ya waasi wa M23 kuuteka mji wa pili nchini humo. Kutekwa kwa mji wa Bukavu kunawapa waasi wa M23 udhibiti kamili wa Ziwa Kivu, kufuatia kuiteka Goma mwishoni mwa Januari, huku kukiwa na hofu ya kuongezeka kwa vita katika eneo hilo lenye utajiri wa madini.