Baadhi walalamikia kujengwa kwa kiwanda cha lami

  • | Citizen TV
    159 views

    Mvutano umeibuka kuhusu ujenzi wa kituo cha kutengeza laki eneo la Ruiru kaunti ya Kiambu huku wakazi wa vijiji vya Gitambaya na Membley wakionekana kuvutana