Baadhi ya kaunti zatumia zaidi ya akaunti 300

  • | Citizen TV
    953 views

    Mkaguzi mkuu wa hesabu za serikali Nancy Gathungu sasa anasema ufujaji mkubwa wa fedha huenda unaendeshwa kwenye serikali za kaunti, huku akitangaza kuwa baadhi ya kaunti hizi zinamiliki hadi akaunti 300 za benki. Gathungu amewaambia maseneta kuwa kaunti nyingi pia zimeshindwa kubainisha mapato yake kwa kuwa na akaunti nyingi fiche,