Baadhi ya shule Nairobi zapinga kufungwa kwa shule 300, zakiitaka wizara kufanya uchunguzi wa kina

  • | NTV Video
    96 views

    Siku moja tu baada ya wizara ya elimu kutangaza kufungwa kwa zaidi ya shule 300 kwa madai ya kutoafikia viwango vya kutoa huduma duni za mabweni kwa wanafunzi, baadhi ya shule hapa Nairobi zimepinga hatua hiyo na kutaka wizara ya elimu kufanya uchunguzi wa kutosha kabla ya kufanya maamuzi kamili.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya