Baadhi Ya Viongozi Wapinga Ushirikiano Wa Rais Ruto Na Raila

  • | TV 47
    64 views

    Baadhi Ya Viongozi Wapinga Ushirikiano Wa Ruto Na Raila

    Baada ya makubaliano ya hivi majuzi kati ya Rais William Ruto na Kinara Wa Chama Cha Odm Raila Odinga, Seneta Wa Nyandarua John Methu, Seneta Wa Laikipia John Kinyua, na Mbunge Wa Kipipiri Wanjiku Muhia wamekashifu vikali ushirikiano huo, wakisema kuwa ni usaliti mkubwa kwa wakenya.

    #TV47Wikendi #TV47WeekendEdition

    __

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __