Baadhi ya Wabunge wa ODM wataka Muturi athibitishe madai ya ufisadi serikalini

  • | KBC Video
    676 views

    Baadhi ya wanasiasa katika chama cha ODM wametoa changamoto kwa aliyekuwa waziri wa utumishi wa umma Justin Muturi, kuwasilisha ushahidi wake dhidi ya serikali kwa idara ya DCI na tume ya maadili na kupambana na ufisadi kwa uchunguzi. Wakiongozwa na naibu kiongozi wa chama hicho ambaye pia ni gavana wa kaunti ya Mombasa Abdulswamad Nassir, viongozi hao walitaja madai ya Muturi kuwa ya 'aibu na kejeli' wakisema alipokuwa serikalini, alikuwa mwenye kusifia utawala wa Kenya Kwanza. Muturi, ambaye alihudumu kama mwanasheria mkuu katika serikali ya Kenya Kwanza , amekuwa akiishtumu serikali kwa matumizi mabaya ya f

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive