Skip to main content
Skip to main content

Baadhi ya wakazi Busia wasifu miradi ya serikali ya Kenya kwanza

  • | Citizen TV
    2,145 views
    Duration: 3:55
    Miaka mitatu sasa tangu Rais William Ruto kuchukua hatamu za uongozi, baadhi ya wafuasi wake katika kaunti ya Busia wamewataka wanasiasa kukoma kuingiza siasa katika miradi ya maendeleo inayotekelezwa na serikali ya kitaifa katika kaunti ya Busia. Hata hivyo, baadhi ya wafanyabiashara wadogo wanalalamika kuwa gharama ya maisha ingali juu licha ya serikali kuahidi kuiounguza.