Baadhi ya wakenya kutoka ka unti ya Migori sasa wanawaomba Ruto na Gachagua kutatua shida ilioko

  • | NTV Video
    698 views

    Huku vuta nikuvute ikiendelea kati ya rais William Ruto na aliyekuwa naibu wake Rigathi Gachagua, ambaye alitimuliwa mamlakani wiki iliyopita.... baadhi ya wakenya kutoka kaunti ya migori sasa wanawaomba Ruto na Gachagua kuketi chini na kutatua shida ilioko kati yao ili waweze kutimiza ahadi walizoahidi wakenya walipokuwa wakitafuta kura

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya