Baadhi ya walimu wa KUPPET wakosoa kusitishwa kwa mgomo

  • | KBC Video
    72 views

    Baadhi ya wanachama wa chama cha walimu wa shule za upili na vyuo-KUPPET, wamepinga hatua ya maafisa wa chama hicho ya kusitisha mgomo wa waalimu . Wanachama wa chama hicho kutoka kaunti mbali mbali , wanadai hatua hiyo ilichukuliwa bila mashauriano na wanaitaja kuwa usaliti kwa walimu wa Kenya . Walisema wanahofia kwamba matakwa yao huenda yasitimizwe.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive