Baadhi ya washirika wa Salvation Army wateta kuhusu ufisadi

  • | TV 47
    47 views

    Baadhi ya washirika wa Salvation Army wateta kuhusu ufisadi.

    Wanasema baadhi ya viongozi wao wanakula mlungula kwa manufaa yao.

    Wamemtaka Askofu Mkuu Daniel kiama kujiuzulu.

    Wanaitaka Afisi Kuu ya London kuingilia kati na kutatua suala hili.

    Wamesema hawatawasilisha matoleo yoyote kwenye makao makuu.

    #TV47Matukio

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __