Baba aliyejitolea kumpiga picha mwanawe kila siku kwa miongo miwili

  • | BBC Swahili
    530 views
    Tazama baba huyu Ian McLeod, ambaye aliamua kuchukua matukio ya mtoto wake kwa kumpiga picha kila siku kuanzia alipozaliwa hadi alipofikisha umri wa miaka 21. Anasema imekuwa "furaha" kupata kila hatua ya ukuaji ya mtoto wake. Mtoto huyo Cory, ambaye sasa ana umri wa miaka 30, aliendeleza jukumu hili la kupiga picha zake miaka tisa iliyopita na anasema ataendeleza mradi huo. #bbcswahili #digitali #mitandao