Baba Katili I Mwanamume ampiga na kumjeruhi vibaya mwanae

  • | KBC Video
    56 views

    Mtoto wa miaka miwili na nusu anaendelea kupigania maisha yake katika hospitali ya matibabu maalum ya kaunti ya Homa Bay. Maafisa wa usalama wanasema kuwa, mtoto huyo alishambuliwa na babake baada ya mzozo wa kinyumbani na mama mtoto. Huku mtoto huyo akiendelea kupata matibabu, wito wa upatikanaji haki ulitolewa, wanaharakati wa haki za watoto wakilaani vikali kitendo hicho. Hayo yanajiri huku msichana wa miaka kumi akisalia hospitalini kwa kushambuliwa na wanafunzi wenzake.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive