Balozi wa Marekani nchini Whitman atakutana na Gavana wa Kisii

  • | Citizen TV
    1,101 views

    Balozi wa Marekani nchini Meg Whitman anaanza ziara yake ya siku tatu katika ukanda wa Nyanza Kusini.Whitman ambaye anatarajiwa mjini Kisii mapema leo atakuwa na kikao maalum na gavana wa kaunti hiyo Simba Arati kabla ya kuzuru miradi mingine kaunti hiyo.