Bang Bet yawapa wakazi wa Makueni krismasi ya mapema kwa kusaidia wasiojiweza

  • | NTV Video
    60 views

    Kampuni ya kamari ya Bang Bet ilitoa krismasi ya mapema kwa wakazi wa kaunti ya Makueni kama njia moja wapo ya kuwajali watu wasiojiweza katika jamii hasa msimu huu wa shamrashamra za krismasi na mwaka mpya.

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya