Bangi ya thamani ya shilingi milioni-8 yanaswa Nairobi

  • | KBC Video
    205 views

    Polisi kutoka kituo cha Buruburu wamenasa bangi inayokadiriwa kuwa ya thamani ya shilingi milioni-8 katika eneo la Umoja, jijini Nairobi, ikiaminika kwamba ilikuwa ikisafirishwa kutoka eneo la Nyanza hadi kaunti ya Mombasa. Kwingineko mbunge wa Kiharu, Ndindi Nyoro amehimiza serikali kukumbatia mbinu bunifu na endelevu katika ukusanyaji mapato badala ya kutegemea mikopo mingi kupita kiasi.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive