Bara Afrika latakiwa kuungana kukabili changamoto

  • | KBC Video
    303 views

    Mwenyekiti wa Bunge la mwananchi Lawi Oyugi ameirai serikali kuhimiza tume ya umoja wa Afrika kuhakikisha usawa unazingatiwa katika shughuli zote za maendeleo barani. Oyugi alisifia juhudi za rais William Ruto za kumuunga mkono aliyekuwa waziri mkuu humu nchini Raila Odinga katika uwaniaji wake wa uenyekiti wa tume hiyo, nafasi iliyomwendea Mahmoud Ali Youssouf wa Djibouti.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News