Barabara ya Kona Polisi hadi hospitalini Msambweni yatiwa lami

  • | Citizen TV
    606 views

    Katika juhudi za kuimarisha miundo msingi ya barabara katika Kaunti ya Kwale , serikali ya kaunti hiyo imendeleza ujenzi wa barabara za lami katika kaunti hiyo