Barabara ya Ngege-Mapera-Rabuor yakarabatiwa

  • | Citizen TV
    620 views

    Shughuli za ujenzi wa barabara inayounganisha Maeneo ya Ngege, Mapera na Rabuor kaunti ndogo ya Suna Mashariki inaendelea kwa Kasi, mwezi Moja baada ya kuzinduliwa na Rais William Ruto