Baraza la gavana laandaa kikao cha mawaziri kujadili maswala ya kukabiliana na mabadiliko Makueni

  • | Citizen TV
    158 views

    Baraza la gavana limeandaa kikao cha mawaziri wa kawi na miundo misingi kutoka kaunti zote nchini kujadili maswala ya kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi kikao kinachofanyika kaunti ya Makueni