Baraza la jamii ya Talai kutoka Nandi lamtaka Rais Ruto kumjumuisha Gideon Moi katika serikali

  • | KBC Video
    352 views

    Baraza la jamii ya Talai katika kaunti ya Nandi, sasa linamtaka rais William Ruto kumjumuisha aliyekuwa seneta wa kaunti ya Baringo na mwenyekiti wa chama cha KANU Gideon Moi, pamoja na viongozi wengine katika serikali, ili kuleta umoja wa taifa na pia kuimarisha amani nchini.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive