Baraza la Wazee na baadhi ya vijana wapinga mkutano Kajiado

  • | Citizen TV
    751 views

    Ubabe kuhusu nani anapaswa kuwa msemaji wa jamii ya Maa unazidi kutokota katika kaunti ya Kajiado, huku baadhi ya wazee wa jamii hiyo na muungano wa Vijana wakipinga hatua ya Seneta wa Narok Ledama Ole Kina ya kujitwika jukumu hilo