Baraza la wazee wa Abaluhya lawaonya wafadhili wa kumtimua Gavana Natembeya

  • | NTV Video
    524 views

    Baraza la wazee wa abaluhya limewaonya wafadhili wa hoja ya kumtimua gavana wa Trans Nzoia George Natembeya kujitayarisha kwa vita vikali vya kisiasa.

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya