Baraza la wazee wa jamii ya Agikuyu lataka serikali ikomeshe madai ya utekaji nyara nchini

  • | KBC Video
    284 views

    Baraza la wazee wa jamii ya Agikuyu limeitaka serikali kuchukua hatua za kukomesha madai ya utekaji nyara wa vijana kote nchini. Wakati wa maombi yao ya kila mwaka mkesha wa mwaka mpya, viongozi wa baraza hilo wakiongozwa na mwenyekiti wa kitaifa Wachira Kiago walikashifu madai ya utekajinyara wakitoa wito wa amani na kuzingatiwa kwa ustawi wa kitaifa huku wakiiomba serikali kusikia kilio cha wakenya.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive