BBC News Swahili

  • | BBC Swahili
    431 views
    Watoto wanaougua saratani ya macho nchini Tanzania sasa wana matumaini mapya baada ya Hospitali ya rufaa ya Bugando kwa kushirikiana na taasisi ya Marekani ya Duke Cancer Institute, kuanzisha vituo maalum vya malezi sambamba na matibabu kwa watoto. Mwandishi wa BBC David Nkya ametembelea kituo hicho kilichopo Mwanza na kuandaa taarifa ifuatayo. 🎥: @frankmavura #bbcswahili #tanzania #mwanza