Beatrice Kanini adaiwa kutoweka kwa zaidi ya mwaka 1

  • | Citizen TV
    655 views

    Familia moja mjini Mombasa inamtafuta mpendwa wao aliyetoweka kwa zaidi ya mwaka mmoja sasa. Beatrice kanini aliondoka nyumbani kwao Meru akirudi jijini Nairobi januari mwaka jana na kutafuta kibarua ila hajaonekana tena hadi sasa