Bendi ya wanawake wanaovaa hijab Indonesia

  • | BBC Swahili
    736 views
    Kikundi cha wanawake watatu wa bendi kutoka Indonesia kiliandika historia katika Tamasha la Glastonbury mwaka huu nchini Uingereza baada ya kushiriki tamasha hilo huku wakiwa wamevaa hijab zao. Voice of Baceprot, waligonga vichwa vya habari kimataifa kwa kuvunja vizuizi vya kijinsia na dini. #bbcswahili #indonesia #muziki Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw