Benki ya Dunia yafadhili miradi ya maji Kilifi

  • | KBC Video
    57 views

    Benki ya dunia imetenga shilingi bilioni 2.58 kuimarisha mpango wa usambazaji maji katika kaunti ya Kilifi Mradi huo unalenga miji ya Malindi, Kilifi, na Mtwapa na utahusisha kubadilishwa kwa mabomba makukuu ya maji na kuweka mabomba mapya .Gavana wa Kilifi Gideon Mung'aro amesema kuwa miradi hiyo itahakikisha kuwa kaunti hiyo ina maji safi ya kutosha.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive