Benni McCarthy azinduliwa rasmi kama kocha mpya wa timu ya Harambee Stars

  • | K24 Video
    9 views

    Mchezaji wa zamani wa Afrika kusini Benni McCarthy amezinduliwa rasmi kama kocha mpya wa timu ya taifa ya kandanda ya wanaume, Harambee Stars. Uzinduzi huo umefanyika leo jijini Nairobi. Kibarua cha kwanza kwa McCarthy nia cha kutafuta tiketi ya kombe la dunia la mwakani baadaye mwezi huu.