Bernard Kavuli aelezea matukio yaliyojiri alipotekwa

  • | Citizen TV
    1,894 views

    Benard Kavuli, mmoja wa vijana waliotekwa nyara sasa anasema alichapwa kila siku na watekaji nyara wake ambao anadai walikuwa wakiwazuilia ndani ya msitu. Kavuli aliyezungumza katika hafla ya kumkaribisha nyumbani kwao kalamba muyo, mwingi kaskazini kaunti ya Kitui amesema kuna watu zaidi wanaozuiliwa eneo ambako alikuwa akizuiliwa.