Biashara I Benki ya Cooperative yanakili faida ya shilingi bilioni 25.5

  • | KBC Video
    34 views

    Benki ya ushirika imepata faida ya shilingi bilioni- 25.5 baada ya kutozwa ushuru huu ukiwa ukuaji wa asilimia 9.8 uliotokana na ongezeko la mapato ya riba. Benki hiyo imepnendekeza mgao wa shilingi moja na centi 50 kwa kila hisa ambapo wenye hisa watagawana jumla ya shilingi bilioni- 8.8. Kwa hizi na habari nyingine huu hapa ni mkusanyiko wa taarifa zetu za biashara.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive