Biashara I Benki zashauriwa kulainisha viwango vya riba

  • | KBC Video
    20 views

    Benki za humu nchini zimeshauriwa kutumia deta kutoka mashirika ya ufwatiliaji malipo ya mikopo pamoja na teknolojia ya kidijitali ikiwemo akili mnemba ili kutathmini uwezo wa wateja wa kulipa mikopo. Mwenyekiti wa baraza la ushauri la rais kuhusu masuala ya uchumi David Ndii, anasema benki zinaweza kutumia takwimu za mashirika hayo ambayo yana taarifa za kuaminika kuhusu mikopo ya wateja mahsusi na uwezo wao wa kulipa mikopo hiyo kufanya maamuzi ya busara. Taarifa hii na nyingine ni kwenye kitengo chetu cha Kapu la Biashara.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive