Biashara I Eneo la Nairobi Gate Park limewekeza shilling million 900 kwa viwanda vidogo

  • | KBC Video
    66 views

    Eneo la utayarishaji bidhaa la Nairobi Gate Park limewekeza shilling million 900 kwa viwanda vidogo vidogo vinavyotayarisha mazao ya chakula na nguo.Eneo hilo linajumuisha mabohari ya upana wa futi elfu-130 mraba,yaliojengwa maalumu kwa wafanyabiashara wa humu nchini na pia wa kimataifa.Kwa habari hizo na nyingine ni katika kapu letu la biashara.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive