Biashara I Kampuni ya Kenya Power yanakili faida ya shilingi bilioni 30 mwaka huu

  • | KBC Video
    57 views

    Kampuni ya umeme humu nchini, Kenya Power imesema kuimarika kwa sarafu ya Kenya pamoja na mauzo kuliiwezesha kunakili faida ya shilingi bilioni 30 mwaka huu, ikilinganishwa na hasara ya shilingi bilioni 3.2 iliyopata mwaka uliopita. Kampuni hiyo imependekeza mgao wa faida wa senti 70 kwa kila hisa ambao utalipwa mwezi Januari mwakani. Taarifa hii kwa kina ni kwenye kitengo chetu cha biashara.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive