Biashara I Kenya kuongeza kiwango cha uwekezaji wa moja kwa moja kutoka China na Marekani

  • | KBC Video
    23 views

    Kenya inadhamiria kuongeza maradufu kiwango cha uwekezaji wa moja kwa moja kutoka China na Marekani hadi dola bilioni-1.6 katika nyanja mbali mbali yakiwemo maonesho ya kiuchumi na kibiashara baina ya China na Afrika ambayo yamevutia zaidi ya kampuni mia tatu kutoka China. Waziri wa uwekezaji na biashara, Rebecca Miano amesema kwamba kupitia maonesho hayo ya kibiashara bara la Afrika limeafikia mikataba kumi na kampuni za China zinazoshughulika na kilimo na utayarishaji bidhaa, huduma za matibabu na teknolojia za mitambo ya barafu. Taarifa kamili ni kwenye mseto wa Biashara.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive