Biashara I Kituo cha majaribio ya ubunifu chazinduliwa

  • | KBC Video
    2 views

    Halmashauri ya mawasiliano inapania kuanzisha kituo cha ubunifu ambapo wenye biashara mpya wataweza kufanyia majaribio uvumbuzi wao kabla ya kuzindua rasmi biashara zao. Halmashauri hiyo inasema kituo hicho kitatoa mbinu mbadala za kung’amua changamoto zinazohusishwa na uvumbuzi ibuka. Kwa hii na taarifa nyingine hiki hapa kitengo cha Kapu la Biashara.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive