Biashara I Kituo kuhusu usalama mtandaoni na Akili Mnemba chazinduliwa nchini

  • | KBC Video
    12 views

    Serikali imezindua makala ya mwaka huu ya shindano la mtandaoni ambalo linalenga kutambua na kukuza kizazi kipya cha wataalamu ambao watadumisha usalama kwenye sekta ya kidijitali humu nchini. Uketo wa taarifa hii ni kwenye kitengo cha Kapu la Biashara.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News