Biashara I Madeni ya serikali yaathiri ukuaji wa uchumi

  • | KBC Video
    9 views

    Mchanganuzi wa utafiti katika taasisi ya fedha za umma, Bernard Njiiri anatoa wito kwa mashirika ya serikali kupatia kipaumbele malipo ya madeni inayodaiwa ili kuchachawisha shughuli za kiuchumi ambazo zitawezesha biashara kunawiri na kuongeza ushuru. Kwingineko, washauri kwenye kampuni ya Ernst & Young, kanda ya Afrika Mashariki wanatoa wito wa upanuzi wa wigo wa ushuru ili kufadhili bajeti ya mwaka 2025/2026. Taarifa hii na nyingine ni kwenye kitengo cha Kapu la Biashara.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive