Biashara I Mataifa ya Afrika yashauriwa kutafuta mbinu za kujitegemea

  • | KBC Video
    365 views

    Rais William Ruto ametoa wito kwa mataifa ya bara Afrika kutumia fursa ya Shirikisho la Biashara Huria barani humu ili kuharakisha maendeleo ya kiuchumi na kijamii. Rais Ruto amesema kuwa kutokana na mivutano ya kisiasa inayoshuhudiwa ulimwenguni, biashara baina ya mataifa ya Afrika inasalia kuwa nguzo pekee ya kusukuma gurudumu la ustawi wa bara hili. Rais alisema haya wakati wa ufunguzi wa kongamano la mwaka huu la Shirikisho La Wenye Biashara Na Viwanda Duniani Jijini Nairobi. Ukina wa taarifa hii ni kwenye kitengo cha Kapu la Biashara.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive