Biashara I Mifugo milioni 1.3 wamechanjwa dhidi ya sokota

  • | KBC Video
    44 views

    Mifugo takriban milioni 1.3 wamechanjwa katika awamu ya kwanza ya kampeni ya kitaifa ya utoaji chanjo dhidi ya ugonjwa wa sokota. Katibu katika idara ya mifugo Jonathan Mueke, amesema chanjo iliyotumika kwenye kampeni hiyo zilitengenezewa humu nchini na taasisi ya ustawishaji wa chanjo za mifugo (KEVEVAPI) na inapatikana bila malipo kwa wakulima kote nchini.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive