Biashara I Mradi wa unyunyiziaji maji mashamba wa Lari kuzinduliwa

  • | KBC Video
    25 views

    Serikali inapania kuanizisha mradi wa unyunyiziaji maji kwenye ardhi ya ekari zaidi ya 500 katika eneo la Lari, kaunti ya Kiambu, kwa kutumia maji ya Mto Gitamaiyu. Katibu katika idara ya unyunyiziaji maji mashamba Ephantus Kimotho amesema mradi huo utakaogharimu shilingi milioni 316 utafaidi familia zaidi ya 1,500. Aliwahimiza wakulima kubuni vyama ili kulainisha usimamizi wa matumizi ya rasilimali ya maji.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive