Biashara I Ongezeko ya nauli kwa familia zilizosafiki kusherehekeka sikukuu ya Krismasi mashinani

  • | KBC Video
    50 views

    Ongezeko la asilimia 50 ya nauli kwa familia zilizofunga safari ya kusherehekeka sikukuu ya Krismasi mashinani pamoja na ongezeko la kadri la baadhi ya bidhaa za vyakula, vilisababisha kiwango cha mfumko wa bei kuongezeka hadi asilimia 3.0 mwezi Disemba mwaka 2024, kutoka kiwango cha asilimia 2.8 cha mwezi uliopita. Taarifa zaidi ni kwenye mkusanyiko wa habari za biashara.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive