Biashara I Serikali yaanza kuorodhesha hoteli katika viwango mbali mbali ili kulainisha huduma

  • | KBC Video
    8 views

    Serikali imeanza shughuli ya kuorodhesha hoteli katika viwango mbali mbali ili kulainisha huduma na kuvutia watalii zaidi pamoja na kupiga jeki ustawi wa uchumi. Katibu katika wizara ya utalii, John Ololtuaa amesema hatua hiyo ni sehemu ya mikakati inayonuiwa kuafiki viwango vya ubora vinavyozingatiwa katika nchi wanachama wa jumuia ya Afrika Mashariki. Taarifa kamili ni kwenye mseto wa Biashara.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive