Biashara I Serikali za kaunti zahimizwa kukumbatia elimu dijitali

  • | KBC Video
    32 views

    Waziri wa habari, mawasiliano na uchumi dijitali William Kabogo ametoa wito kwa serikali za kaunti kujumuisha elimu dijitali katika ajenda za maendeleo. Kabogo amesema hili linaweza kuafikiwa kupitia ushirikiano ukiwemo ubia kati ya sekta za binafsi na umma pamoja na washirika wa maendeleo. Zifuatazo ni taarifa za biashara katika kitengo cha kapu la Biashara.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive