Biashara I Uganda yangoza kwa mizigo inayopitia katika Bandari ya Mombasa

  • | KBC Video
    80 views

    Uganda inaongoza kwa mizigo inayopitia katika Bandari ya Mombasa huku ikijumuisha theluthi mbili ya mizigo. Haya ni kwa mujibu wa ripoti ya hivi punde zaidi kutoka kwa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari nchini. Kwa hizi ni habari nyingine ni katika mkusanyiko ufuatao wa habari zetu za biashara.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive